Rich Mavoko ni Mjeshi, Amepigana Sana- Darasa
Rich Mavoko mwenyewe ndio anaweza kuongea kuhusu yeye, ila naamini yeye ni Mwanajeshi na ameshapigana sana kwenye njia yake, ameshafanya vitu vingi kwenye maisha yake, naamini kipaji chake nataka kumuona, mara ya mwisho tulikutana studio tunafanya 'project' kwa Abba na alikuwa yupo poa tu, unajua hataki tu kujionyesha" amesema Darasa
"Kuna watu ambao wananizidi 'followers' kwenye Mitandao na vitu vingi kwenye but hawawezi kushindana na mimi kwenye kazi zangu na maisha yangu na wako bize 24/7" amesema Darasa
No comments