Petit Man: Nimeachana na Esma ila atabaki Kuwa Mzazi Mwenzangu
Petit Man wakuache ambae ni Mzazi Mwenza Esma dada wa msanii Daimond Platinum ameweka Wazi Kuhusu Mahusiano Yake Na Mzazi Mwenza Wake Kwasasa Baada Ya Kuwepo Na Story Nyingi Juu Yao
Petit Man wakuache Alipokuwa Akifanyiwa Interview Na Kituo Cha Radio Cha TIMESfm Amesema
''Mimi Na Esma Platnumz Hatuko Pamoja Muda Mrefu Sana Sasa Yeye Ni Mzazi Mwenzangu Na Itabaki Kuwa hivyo Tu, Nipo Kwenye Mahusiano Kwa Muda Mrefu Tu, Nachoweza Kuwaambia Ma Ex Wangu Wote Ni Mungu Awabariki''
No comments