Nyalandu Nyalandu "Saa Yangu ya CHADEMA Kunijua imewadia"
"Saa yangu ya CHADEMA kuona Nyalandu ni nani imewadia na siku kadhaa zinazokuja tutapata fursa ya kutembea sehemu nyingi Tanzania kuonana na wanachama na kuona baadhi ya sera kama zitafaa ili tuziendeleze" Lazaro Nyalandu, Mtia Nia URAIS, CHADEMA.
"Tutaweka sheria ya kuruhusu na kulazimisha shule zote za Kata Tanzania ziunganishwe na mkongo wa Taifa ya kuruhusu Data (bando) ziwepo katika shule za Kata (Msingi na Sekondari) ili iwasaidie walimu na wanafunzi katika kuwa na uwezo sio tu wakujifunza TEHAMA lakini vilevile wana uwezo wa kufikia library zilizopo katika Mitandao, itamfanya mtoto wa kijijini na mijini kufanana" Lazaro Nyalandu, Mtia Nia URAIS, CHADEMA.
No comments