Header Ads

Header ADS

Mwanamuziki Wakazi Kuingia Katika Siasa "Nafurahia Uongozi wa Jokate"

“Nafurahia Uongozi wa Jokate Mwegelo maana amepata nafasi anaonesha vitu vizuri, nafurahia utendaji kazi wa January Makamba, Zitto Kabwe na wengine wa Vyama vingine, ila nimevutiwa na sera za ACT, kuhusu kugombea Chama kikiamua kunitumia nitatumika"- Ameyasema hayo Rapa WAKAZI

No comments

Powered by Blogger.