Mpenzi Wangu Anataka Niwe na Wapenzi Wawili yeye na Rafiki yake
Nashindwa kuelewa ana maana gani..Huyo mpenzi wangu amekuwa na rafiki yake wanapendana sana kila mahali wako wote na siku zingine huwa nikitoka na mpenzi wangu out analazimisha na rafiki yake awepo...Sasa siku za hivi karibuni amekuwa akiniambia kuwa its ok kuwa naye na huyo rafiki yake...week iliyopita alikuja nyumbani kututembelea usiku ulipofika akaamua kulala japo tuna chumba kimoja tu, mie kwa aibu nikalala sebuleni japo mpenzi wangu alikuwa ananishawishi tulale naye kitanda kimoja..na its ok tukifanya theresome ila mimi nilikataa...Naomba ushauri wana udaku hii ni Halali ?
Je niendelee kuwa na wote ama nisimamie msimamo wangu wa kuwa na mmoja?
No comments