Meya ya Jiji la Dar Isaya Mwita atangaza rasmi nia ya kugombea Urais
Meya ya Jiji la Dar es salaam Mh. Isaya Charles Mwita ametangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya kugombania Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA
Ukiachana na Mh. Mwita , wanachama wengine 10 pia wametangaza nia ya Kuomba ridhaa ya kukiwakilisha chama hicho katika nafasi ya Urais.
No comments