Header Ads

Header ADS

Matonya atangaza kuachana na muziki “Wasanii tutauana pesa imekuwa shetani”


Msanii mkongwe wa muziki wa BongoFleva, Matonya ametishia kuachana na muziki kutokana na mambo yanayoendelea kwenye muziki hatua ambao amedai inaweza pelekea wasaniwakauana. Muimbaji huyo ambaye amewahi kufanya vizuri na wimbo Siamini na nyingine nyingi, amedai imefikia hatua wasanii wanalogoana na kushushana kimuziki.
 


No comments

Powered by Blogger.