Mataifa ya Afrika Mashariki yatakiwa kuendelea kuwapokea wakimbizi
Mataifa ya Afrika Mashariki yametakiwa kufungua milango yao kuwapokea wakimbizi kutokana na kuendelea kwa mizozo nchini Somalia, Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwepo kwa janga la COVID-19, Ushirika wa jumuiya za wakimbizi katika Pembe ya Afrika, Afrika Mashariki na Afrika ya Kati (HECA) imesema.
No comments