Header Ads

Header ADS

Hatimaye Mtangazaji B Dozen Kafunguka Kuhusu Yeye Kuondoka Clouds FM...Awaaga Wenzake


Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameandika yafuatayo:

"Kutoka Arusha, Kitega Uchumi hadi Mjengoni Mikocheni, CLOUDS has always been home.

Shukrani sana kwa Management yote, Chama la Wana #XXL na wafanyakazi wote wa Clouds, na wadau wengine wote wa Clouds. Undugu wangu na ninyi hauwezi kuisha wala Kusahaulika.
.
It is time, nahitaji changamoto mpya mahali pengine.
.
Mwisho ninamnukuu #RugeMutahaba, aliwahi kusema " "Kubadilisha mfumo wa mazingira ya utafutaji na kukua kitasnia nadhani halitakiwi kuwa jambo baya isipokuwa ni kupongezana na kutakiana kila la kheri".
.
I wish you all the best, mzidi kufungua Dunia. 💙💙🙏🏼
.
.
Cc: @cloudsfmtz @cloudstv"

No comments

Powered by Blogger.