Haji Manara Afunguka Mazito Kifo cha Mke wa Babu Tale..."Uliniambia Mgonjwa Yupo ICU Siwezi Kumuona"
"Tale ninatamani niruke kutoka huku Mbeya,,yaani nimejisikia maumivu ya kupitiliza!!
Majuzi uliniambia Haji huwezi kumuona mgonjwa yupo ICU na ukaniambia nipo kwa @sallam_sk ,watoto wananiulizia mama yao Kila wakati, leo mama yao amekwenda, shemeji yetu na jirani yangu umeondoka ukiwa kijana,umeacha watoto wazuri na umemuachia ndugu yetu ukiwa mkuu!!ðŸ˜ðŸ˜
Hakuna maneno yanayotosha zaidi ya kusema Pole @babutale ,Poleni wote mlioguswa na Insha'Allah Mola wetu atawapa subira na atamjaalia Pepo ya firdaus shemeji yetu Shamsa" Haji Manara
No comments