Bonga “Harmonize alinambia nitafute gari aninunulie, Ile napata gari nikamfuata akaniambia ana mood mbaya”
Aliyekuwa Producer wa @harmonize_tz ambaye kwa sasa ameacha kufanya nae kazi @officialbonga_ amefunguka kiundani kilichomtoa .
Akiongea na Bongo5 @official Bonga_ ameeleza kuwa aliamua kuondoka kwa sababu aliyokuwa anaahidiwa hakutimiziwa lakini pia hakuwahi kunufaika na chochote kutokana na ngoma kali alizowahi kumtengenezea HARMONIZE.
Aliongeza kuwa kuna siku aliumia sana baada ya Harmonize kumuahidi kumnunulia gari ila alipopata gari siku hiyo akamwambia ana mood mbaya
No comments