Basi Latumbukia Kwenye Korongo Laua Watu Wanne
Taarifa za awali Ambazo tumepokea kutoka mkoani Iringa zinaeleza kuwa kuna basi ambalo limetumbukia kwenye korongo Mlima Kitonga,
Mpaka sasa watu wanne wamethibitishwa kupoteza maisha na kumi kujeruhiwa baada ya basi hilo la kampuni ya Prezdar (Iringa-Dar) kuacha njia na kutumbukia katika korongo la Mlima Kitonga mkoani Iringa.
Kamanda wa polisi Juma Bwire Amethibitisha kutokea kwa ajali.
Taarifa kamili zitakujia
No comments