Header Ads

Header ADS

Baba Levo Atangaza Nia ya Kugombea UBUNGE Kigoma Mjini.."Nitachukua Nafasi ya Zitto..Hawataki Mamluki"


Diwani wa kata ya Mwanga Kigoma mjini @officialbabalevo ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kigoma mjini.

@officialbabalevo ametangaza nia akisema kuwa ameona kama Mh. @zittokabwe anautaka Urais hivyo yeye ndiye akatayeridhi mikoba ya @zittokabwe KIGOMA MJINI maana hawataki mamluki.



No comments

Powered by Blogger.