Header Ads

Header ADS

Apple Music Wauweka Wimbo Mpya wa Rosa Ree Katika Nyimbo Kali za Hip Hop Africa..Avunja Record

Kampuni kubwa Duniani ya Uzambazaji wa Music online Apple Music Wameuweka wimbo mpya wa Rosa Ree Unaitwa Kupoa katika Play list kubwa ya Hip Hop ya Wanamuziki wa Africa, Wimbo huo umewekwa pamoja na Nyimbo kutoka kwa wakali Nasty C, Sarkodie, Kwesi na Wengine

Rosa Anakuwa Rapper wa Kike wa Kwanza kutoka Tanzania Kuingiza Nyimbo katika Play list hiyo kubwa ya Apple Music upande wa Africa

Chini Nimekuwekea list ya Wanamuziki waliongia week hii





No comments

Powered by Blogger.