Ali Kiba Jifunze Namna ya Kupromote Wasanii Wako.........
Wasanii wako ni wachanga sana Wanahitaji push yako kwa hali na mali, sio kwa ubaya ila upande wa pili wa Mtoto wa Tandale anajitahidi sana ona Zuchu alipo sasa bila push ya boss wake hata tusinge mjua, unatoaje wimbo wako siku moja baada ya kutoa wimbo ya msaani wako?
Tommy Flava aliihitaji push zaidi ya hapo lakini wimbo wake ulifunikwa na wimbo wako ule umefanya Video na Hamisa Mobetto
Kinachotokea watu wataconcentrate kwenye ngoma yako..Sababu wewe ni mkubwa kuliko wao....
Source:JF
No comments