Header Ads

Header ADS

Walinishuku Kuwa Ninauza Dawa za Kulevya na Kuniambia Nifanye Tizi Mara 30,’Video Vixen Nicole Asimulia


Videi vixen wa msanii Harmonize Nicole Joy Berry kupitia posti aliyoweka mtandaoni alieleza jinsi alizuiliwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kushukiwa amebeba dawa za kulevya.

Alieleza jinsi alizuiliwa kwa muda wa zaidi dakika thelethini;

“THE ONLY THING I AM AFRAID OF IS FAME!!! NIGGA RECOGNISED ME FROM SOMEWHERE AND BOOM 💣, I WENT THROUGH HELL AT THE AIRPORT OF MWALIMU JK NYERERE TODAY AND I WILL ALWAYS REMEMBER THE EMBARRASSMENT, MAN!. F**K THE SYSTEM, THEY SUSPECTED ME OF DRUG TRAFFICKING MADE ME SQUAT 30 TIMES, 34 MINUTES DETENTION. THEY STRIPPED ME OFF MY CLOTHES. I AM A CITIZEN WHO HAS NO HARM AND MY GOLD ADDICTION AND CARRYING CASH DOESN’T MEAN I DEAL WITH DRUGS.” Aliandika Nicole.

Si Nicole peke yake bali kuna video vixen kadhaa wa nchi ya Tanzania ambao pia waliweza kushukiwa kwa kuuza dawa za kulevya, miongoni mwao ni Wema Sepetu, mwendazake Agnes Masogange, Sandra Khan almaarufu Binti kiziwi miongoni mwa wengine.

Binti kiziwi alifungwa jela nchini Uchina kwa muda wa miaka saba na kurejea nyumbani Januari mwaka huu, katika mahojiano ya awali Sandra alieleza vile jela kulikuwa;

“BEING THERE FOR ME WAS SO HARD FIRSTLY BECAUSE IT WAS SO FAR FROM HOME, THE ENVIRONMENT WAS DIFFERENT AND ALSO BECAUSE I WAS SO DIFFERENT FROM THE PEOPLE I MET THERE.” Sandra Alisema.

Alisema kuwa jela kumebadilisha maisha yake huku akisema atasaidia kizazi cha sasa kiache dawa za kulevya

“BEING THERE FOR ME WAS SO HARD FIRSTLY BECAUSE IT WAS SO FAR FROM HOME, THE ENVIRONMENT WAS DIFFERENT AND ALSO BECAUSE I WAS SO DIFFERENT FROM THE PEOPLE I MET THERE.”

No comments

Powered by Blogger.