Header Ads

Header ADS

Tazama Picha za Familia Iliyogeuza Makaburi Kuwa Nyumba yao ya Kuishi

Jamii moja nchini Philipines inaishi makaburini, ambapo wamegeuza makaburi hayo kama nyumba zao. Yaani unaambiwa kama unavyoishi wewe nyumbani kwenu ndio wanavyoishi wao, isipokuwa wao makazi yao yapo makaburini, na shughuli za mazishi huendelea kama kawaida.




No comments

Powered by Blogger.