Header Ads

Header ADS

Suma Lee: “Nilikosea Kuwaomba Diamond na Alikiba Niimbe nao Qaswida, Eti Hawapendi Qaswida ila Wanacheza Nyimbo za Kutambika” – Video


Suma Lee: “Nilikosea Kuwaomba Diamond na Alikiba Niimbe nao Qaswida, Eti Hawapendi Qaswida ila Wanacheza Nyimbo za Kutambika” – Video
Aliyekuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Suma Lee @hakunaga ameeleza kuwa aliomba kuimba wimbo mmoja na wasanii wa muziki wa Kidunia ambao ni @diamondplatnumz na @officialalikiba kwa makosa kwa hakutakiwa kuwaomba kwa njia aliyoitumia yeye.


Mbali na hilo @hakunaga ameeleza kusikitishwa kwani wapo wamekataa na hakuwataja kwa majina lakini akieleza kuwa kuimba nyimbo za kumsifu Mungu wanakataa ila nyimbo za kikabila zenye matambiko wanaimba.

Suma Lee pia ameeleza kuwa huwa anasikiliza nyimbo za Bongo Felva japokuwa haimbi tena na hatarajii kurudi kuimba muziki wa kidunia.


No comments

Powered by Blogger.