Header Ads

Header ADS

Rais Makufuli "Kwa Shule nyingine za Sekondari na Shule za Msingi Tuzipe Muda Kidogo"


“Kwa Shule nyingine za Sekondari na Shule za Msingi tuzipe muda kidogo, Form six pekee ndio warudi shuleni wengine tusubiri, kwasababu wanafunzi wa vyuo wanajitambua ni Watu wazima, tofauti na Shule za Msingi huko kuna Watoto hasa darasa la kwanza kwahiyo huko tujipe muda kidogo tuangalie hali ya janga la corona inavyoendelea” -JPM



No comments

Powered by Blogger.