Header Ads

Header ADS

Rais Magufuli "Atakaepokea Vifaa vya Kupambana na Corona na Vikipimwa na Kukutwa na Virusi Hivyo Ashitakiwe"


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, ameagiza kuwa mtu yeyote atakayepokea vifaa vya kupambana na Virusi vya Corona, vikishapimwa na Maabara Kuu ya Tanzania na kukutwa vina Virusi hivyo, basi ashitakiwe na apewe kesi ya jinai.

Rais Magufuli ameyabainisha hayo leo Mei 21, 2020, Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, mara baada ya kuwaapisha Mabalozi wa nchi mbalimbali , Mkurugenzi wa TAKUKURU na Katibu Tawala Mkoa na kuongeza kuwa vitu vya bure vina gharama.

"Kwa mtu yeyote atakayepewa vifaa

No comments

Powered by Blogger.