Header Ads

Header ADS

Mwanaume Katili Amuekea Mkewe Pilipili Sehemu za Siri


Polisi katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za kumuwekea Mke wake Pilipili kwenye sehemu zake za siri na kisha kumziba na gundi.

No comments

Powered by Blogger.