Header Ads

Header ADS

Muigizaji wa Filamu Tanzania Ray Kigosi Anena Haya Kuhusu Mama Mtoto wake Chuchu Hans

Muigizaji wa Filamu Tanzania Ray Kigosi amshukuru mpenzi wake Chuchu Hans na mtoto wake Jaden kwa kumpa heshima ambayo hapo awali hakuwa nayo

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ray ameandika :

"Mama mtoa bikra Chuchu Hans na Mwanae Jaden hakika mmependeza nawapenda sana maana nyie mmenipa heshima kubwa kwenye Ulimwengu huu wenye kila aina za songombingo naliheshimu ilo na nitaendelea kuliheshimu mpaka pale muda wangu wakuishi Duniani utakapofika mwisho"

No comments

Powered by Blogger.