Header Ads

Header ADS

Msemaji wa Rais wa Urusi Vladmir Putin akutwa na Corona



Msemaji wa Rais wa Urusi Vladimir Putin anayefahamika kwa jina la Dmitry Peskov amebainika kuwa na virusi vya corona na anapatiwa matibabu Hospitali, Peskov amewataka Watu wasihofu kuhusu afya ya Rais kwakuwa hajakutana nae mwezi sasa maana Putin anafanyia kazi zake nyumbani.
OPEN IN BROWSER


No comments

Powered by Blogger.