Header Ads

Header ADS

Mrembo Afunguka "Nimejaliwa Umbo Zuri na Mungu Hivyo sio Dhambi Kuwaonyesha Watu'

Pichani mrembo huyo kwa jina la Anita amesema kamwe hawezi kuomba radhi sababu ya kujaaliwa umbo lenye mvuto .
Ameyasema hayo Kwa hasira akimtuhumu mmoja wa mashoga zake wa karibu kumsengenya kwa watu kuwa muda mwingi anatupia videos mtandaoni Ili kuwaonesha watu umbo lake .
.
Anita amesema kinachomsumbua rafiki yake huyo ni Wivu wa kutamani umbo lake angepewa yeye kwani Kama Ni videos hata mrembo huyo Pia anatupia Kwa kujifichaficha mtandaoni. Amemalizia Kwa kumwambia ashukuru hapost videos chafu Ila ataendelea kujitukuza alivyoumbika

No comments

Powered by Blogger.