Header Ads

Header ADS

Mrema na Heche Wamemcharua Spika Ndugai kwa Kitendo cha Kumshambulia Mbowe


Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche amesema na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema wamemcharua Spika wa bunge Job Ndugai.

“Ndugai hizi ni kanuni zinazowataka wabunge wa Chadema kukichangia chama na wabubge kabla ya kugombea walizisoma na kuzikubali,” aliandika Mrema.

“Kumshambulia Mbowe kuwa michango ameagiza ni uongo. Aidha tuna taarifa za wabunge wa CCM na CUF kuchangia vyama vyao pia,” aliandika Mrema


 Mbunge wa Kilombero ( Chadema), Peter Lijualikali jana alisema kila mwezi Wabunge wa Chadema wanakatwa Sh. laki tano, eti kuchangia mfuko wa chama wakati wa kampeni, fedha zilipofika bilioni nane na walipohoji hizo fedha zipo wapi? Wakaambiwa uchaguzi ni harakati.


No comments

Powered by Blogger.