Header Ads

Header ADS

Mpiga picha wa gazeti la Mwananchi, Mzee Omary Fungo amefariki dunia



Mpiga picha wa gazeti la Mwananchi, Mzee Omary Fungo amefariki dunia katika hospitali ya Malawi iliyopo Kiwalani Jijini Dar es Salaam.

Mtoto wa marehemu Juma Fungo amethibitisha kutokea msiba huo na kusema kuwa  taratibu za Mazishi zinafanyika nyumbani kwake Kiwalani ambapo  wanatarajia kumpumzisha kesho hapo hapo kiwalani
.
Marehem mpaka umauti unamkuta alikuwa mpiga picha wa kampuni ya MCL wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti, The Citizen na Mwananchi Dital.

Pia amefanya kazi katika magazeti mbalimbali wakati wa uhai wake



No comments

Powered by Blogger.