Magufuli "Sijakimbia Ikulu, Chato ni Kwetu Hata Nikifa Nitazikwa Hapa"
“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM
“Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni, na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyofanya, kuna mambo ya ajabu yanafanyika, sina imani na Mkuu wa Mabaara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za papai zioneshe zina corona” -JPM
No comments