Header Ads

Header ADS

Kipimo Cha Corona(test kits) ni Kipimo Sahihi Cha Virusi vya Covid 19?


Habarini Wakuu najaribu kufikiria je test kits za Covid 19 ni sahihi kwa kupima corona viruses au vinapima na vitu vingine au vina errors nyingi mpaka kukosea kiasi hiki  au kuna kitu nyuma ya pazia kama ilivyokuwa HIV/AIDS


Rais Magufuli ameelezea mashaka yake juu ya ufanisi wa maabara ya taifa baada ya kufanya uchunguzi wa kupeleka sampuli za matunda na wanyama na baadhi ya sampuli hizo kukutwa na maambukizi ya Corona.

No comments

Powered by Blogger.