Header Ads

Header ADS

Hizi Hapa Nchi 137 zenye Majeshi ya Polisi Bora Duniania...Rwanda Kinara Afrika...Tanzania Je?


Shirika la World Economic Forum limetoa orodha ya nchi 137 katika viwango vya ubora wa huduma za Vikosi vya Majeshi ya Polisi duniani

Orodha hii imezingatia kiwango cha kuaminika na kutegemewa -
Nchi ya Finland imeshika nafasi ya kwanza ulimwenguni huku Rwanda ikishika nafasi ya 13 na ya namba 1 kwa Afrika

Nchi nyingine za Afrika zilizofanya vyema ni Misri, Ethiopia pamoja na Afrika Kusini

Ni nchi 4 tu za Afrika ndio zimeweza kuingia katika orodha hiyo


No comments

Powered by Blogger.