Heche: Ukiwa Kwenye Siasa za Mageuzi Jitahidi Kudhibiti Njaa zako ili Uheshimike
Mbunge wa vijijini (Chadema), John Heche, amesema siasa ni kanuni sio ajira wala biashara ya kutengeneza faida.
“Ukiwa kwenye siasa za mageuzi na kujenga demokrasia kuna maovu na uonevu mwingi sana unatokea hapa Tanzania.
“Jitahidi kudhibiti njaa zako uheshimike. Vinginevyo utapata sifa za muda mfupi na aibu ya milele,” aliandika Heche katika ukurasa wake wa twitter.
Siasa ni principles, siasa sio ajira, wala sio biashara ya kutengeneza faida. Ukiwa kwenye siasa za mageuzi na kujenga demokrasia kuna maovu na uonevu mwingi sana unatendewa hasa Tz . Jitahidi dhibiti njaa zako utaheshimika. Vinginevyo utapata sifa za mda mfupi na aibu ya milele.— John Heche (@HecheJohn) May 4, 2020
No comments