Header Ads

Header ADS

Dogo Janja "Bahati Mbaya Sikubahatika Kumaliza Shule..ila Ndoto Zangu Zimetimia"

"Bahati mbaya sikubahatika kumaliza shule.. lakini nimekua ni mmoja wa vijana wanaotimiza ndoto zao mapema sana,tena kwenye umri mdogo sana.. nlikua na ndoto yakumiliki nyumba magari na mahitaji yote ambayo vijana wenzangu wanavyo.... lakini kubwa zaidi nlikua na ndoto yakushare beat moja na huyu wapembeni yangu ambae leo kanikataza nisimuite dada nimuite mama @jidejaydee nasema #Asante ndoto imetimia unaetaka kunikopa leo siku nzuri unaweza ukaitumia😂😂 nnafuraha sana" DOGO JANJA

No comments

Powered by Blogger.