Header Ads

Header ADS

Chama cha CHADEMA Chamjibu Spika Ndugai


Chama cha Chadema  kimemjibu Spika Ndugai na kusema kuwa kama anahisi Wabunge wa chama hicho hawajajiweka Karantini na wanazurura, basi aseme wako wapi na kuongeza kuwa yeye ndiye Spika wa kwanza kulipa mishahara kwa Mbunge hewa Cecil Mwambe ambaye alishajiuzulu

No comments

Powered by Blogger.