Waziri Jafo ampongeza Makonda kisa Dar kuongoza kwa mapato
Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam @baba_keagan kwa kuongoza kwa mapato ambapo mkoa huyo umekusanya tsh bilioni 126.77 kwa kipindi cha miezi 9.
Waziri amesema hayo wakati akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya Halmashauri katika kipindi cha Julai, 2019 – Machi, 2020 “Nimpongeze ndugu yangu Makonda kwa mkoa wake kuendelea kufanya vizuri katika wingi wa mapato kwa kukusanya mapato ya Tsh Bil 126.77 kwa kipindi cha miezi tisa”
No comments