VIDEO: Nay wa Mitego Awavaa BSS “Acheni Ujanja Ujanja”
Msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego baada ya naibu waziri wa Sanaa na Michezo Juliana Shonza leo kutoa tamko kuwa waandaaji wa Bongo Star Search wamlipe pesa zake za zawadi mshindi wa BSS 2019 Meshack.
Nay wa Mitego afunguka na kuwatolea uvivu kwa kusema kuwa aliwahi kuimba na kusema mashindano hayo ni ujanja ujanja wala washindi hawapewi Tsh milioni 50.
VIDEO:
Nay wa Mitego afunguka na kuwatolea uvivu kwa kusema kuwa aliwahi kuimba na kusema mashindano hayo ni ujanja ujanja wala washindi hawapewi Tsh milioni 50.
VIDEO:
No comments