Header Ads

Header ADS

Trump: WHO Wanaipendelea China, Nitaacha Kuwapa Pesa!




Rais wa Marekani, Donald Trump amelilaumu Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa linaipendelea nchi ya China na kushirikiana nayo kuficha ukweli huku akisema kuna mashaka juu ya idadi ya vifo na maambukizi ya corona inayotolewa na China. Trump ametishia pia kuacha kulipa fedha Shirika hilo.

“Tunawapa fedha nyingi kuwafadhili na bado kwenye hili suala la corona wanakosea mengi, nitaacha kuwapa fedha, hata nilipowazuia China kutoingia Marekani WHO ilinilaumu,” amesema Trump.


No comments

Powered by Blogger.