Header Ads

Header ADS

Serikali Yatangaza Ukomo wa Bei ya Sukari Kuwa Kati ya Tsh 2600 -3200 Kwa KG 1



Serikali imetangaza bei ya ukomo ya Sukari kwa rejareja katika Mikoa yote nchini; Dar itauzwa Tsh. 2,600, Mbeya Tsh. 3,000, kwa Mwanza, Dodoma na Shinyanga ni Tsh. 2,900

Kwa Kigoma Tsh. 3,200, Arusha na Kilimanjaro ni Tsh. 2,700, Kagera na Mara ni Tsh. 3,000 na kwa Mikoa ya Lindi na Mtwara, itakuwa Tsh. 2,800, lakini Rukwa, Katavi, Ruvuma ni Tsh. 3,200

Kwa Mikoa ya Njombe, Geita, Tabora, Singida, Iringa na Simiyu itauzwa Tsh. 2,900 na kwa Manyara, Tanga, Pwani na Morogoro itauzwa kwa Tsh. 2,700 huku Songwe ikiwa Tsh. 3,000


No comments

Powered by Blogger.