Paul Makonda Atoa Neno Zitto Kwa Hamisi Kingwangala Baada ya Taarifa za Kutumia Pesa Bila Ruhusu
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemshauri Waziri wa Maliasili na Utali, Dk. Hamis Kigwangalla kuchapa kazi na kuachana na mitandao.
“Kaka yangu unajua ninavyokuthamini chapa kazi achana na mitandao,” aliandika Makonda katika ukurasa wake wa Twitter.
Kaka Yangu unajua ninavyokuthamini Chapakazi Achana na Mitandao pic.twitter.com/iW8WMwRZ21— Paul Christian Makonda (@makonda_paul) April 8, 2020
No comments