Header Ads

Header ADS

Mchungaji Msigwa: Walioleta Taarifa za Corona ni Wanasayansi na sio Manabii wala Wachungaji


Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchunhaji Peter Msigwa, amesema walioleta taarifa za ugonjwa wa Corona ni wanasayansi.

“Sio manabii, mitume wala wachungaji. Kwa nini tumewaamini wanasayansi kuwa kuna ugonjwa,” alihoji Msigwa katika ukurasa wake wa Twitter.

“Lakini hatuwaamini wanapotufundisha njia za kujikinga na kuepuka na maambukizi sikiliza wataalamu alafu omba Mungu kumbuka Luke alikuwa Daktari,”


No comments

Powered by Blogger.