Jamaa huyo wa Nigeria kwa jina la Baptist Amah amejitosa kula chura hadharani, anasema chura ana protini nyingi pia hutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pamoja na magonjwa mengine
No comments