Header Ads

Header ADS

Juma Lokole kumbe alikuwa shabiki wa Alikiba akahamia kwa Diamond “Napenda sana uandishi wake” (Video)


Mmoja kati ya mashabiki wa Diamond, Juma Lokole ambaye pia ni mtangazaji wa Wasafi Fm, amefunguka jinsi anavyomkubali muimbaji Alikiba ambaye siku ya leo ameachia wimbo mpya na kukubalika na mashabiki wengi ndani ya muda mfupi akiwa na Hamisa Mobetto.

VIDEO:



No comments

Powered by Blogger.