Header Ads

Header ADS

Jeshi la Marekani: Kim Jong Un bado yuko madarakani Korea Kaskazini



Uvumi unaendelea kuhusu hali ya afya ya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, baada ya kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 36, kutoonekana hadharanii kwa siku kadhaa.

Hata hiyo, kulingana na naibu mkuu wa majeshi ya Marekani John Hyten, jeshi la Marekani linachukulia kwamba Kim anaendelea kuongoza taifa lake licha ya ripoti zinazodai kuwa anakabiliwa na matatizo ya kiafya.

Amesema hakuna sababu ya kusadiki tukio lolote jengine. Hyten amewaambia waadhishi wa habari kuwa hana taarifa ya upelelezi kuthibitisha au kukanusha ripoti kuhusu hali ya afya ya Kim.



No comments

Powered by Blogger.