GSM yatoa ufafanuzi wa mgawanyo wa milioni 200 Yanga
Kampuni ya GSM imetoa ufafanuzi wa kwanini wachezaji 14 wa Yanga SC na kocha mkuu Luc Eymael kila mmoja alipata Tsh milioni 10 katika ushindi wa Yanga 1-0 Simba SC March 8 uwanja wa Taifa.
Mkurugenzi wa uwekezaji GSM Eng Hersi Said aeleza kuwa mgao huo wa bonasi ambao uliwagawa wachezaji wa Yanga wengine kupata milioni 10 na wengine milioni 3 ulitokana na makubaliano ya siku zote
No comments