Header Ads

Header ADS

Chanjo ya CORONA Virus Kuanza Kujaribiwa Alhamisi


Wanasayansi kutoka Chuo cha Oxford ambapo chanjo ya ugonjwa wa #COVID19 inatengenezwa wamesema kuna uwezekano chanjo hiyo ikafanikiwa kwa 80% lakini pia wamekiri inaweza kushindwa

Wamesema itaanza kujaribiwa rasmi kwa binadamu siku ya Alhamisi (Aprili 23, 2020) na majaribio hayo yatagharimu Paundi Milioni 20 (sawa na takribani TZS 56,952,036,140)

No comments

Powered by Blogger.