Header Ads

Header ADS

Alikiba Kajitetea kwa Mkewe na Ujumbe Huu wa Mapenzi..Baada ya Taarifa Kutoka Kimapenzi na Diva Loveness



Mwimbaji Staa wa Bongofleva Alikiba amemuandikia mke wake Amina Ujumbe wa kimapenzi na kumtakia maisha marefu ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.

Ujumbe huo wa Alikiba umepata tafsiri tofauti mtandaoni ambapo baadhi wanaamini atakuwa ametumia njia ya kuomba radhi Au kujitetea kutokana na kile kilichokuwa kikiendelea mitandaoni kuhusu yeye na Diva the Boss.

Bonyeza PLAY hapa chini kufahamu zaidi:



No comments

Powered by Blogger.