Zari Hassan Afichua UMRI Wake....Kumbe Bado Kipusa Toto Bikra Kabisa
Zari Hassan amekuwa akipokea shutuma kwamba ameficha umri wake na kwamba amekuwa akidanganya kuhusu miaka yake halisi .
Zari hajakuwa akiwajibu wale wambao wametlia shaka ukweli wake kuhusu umri wake halisi akisema yungali hajatimu umri wa miaka 40 . mpenzi huyo wa zamani wa Diamond Platnumz na mama ya watoto watano ndio sasa anakaribia umri wa miaka 40 kwani kwa sasa ana umri wa miaka 39.
Amefichua hilo katika ujumbe wa picha aliopiga kiwa nchini Uganda kwa kuandika;
Wengi wamekuwa wakisema kwamba huenda Zari ana umri wa juu kuliko muonekano wake . Katika tukio moja picha za pasipoti yake zilivuja mtandaoni na kuonyesha kwamba alikuwa ameshatimu umri wa miaka 40 na alikuwa akidanganya kuhusu miaka yake .

“What 39 going 40 looks like.”

No comments