Maskini...Mgonjwa Wa Kwanza Wa Corona Misri Afariki Dunia
Misri imeripoti kifo cha kwanza kilichosababishwa na virusi vya corona ambapo Waziri wa Afya nchini humo amesema Mtalii kutokea Ujerumani (60 yrs) aliingia Misri siku saba zilizopita na kukimbizwa Hospitali baada ya kubainika ana virusi hivyo.
Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Wizara ya Afya ya Misri imeeleza kuwa idadi ya watu wanaogua homa ya corona nchini humo imefikia 55
No comments