Header Ads

Header ADS

BREAKING: Waziri Mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok amenusurika kifo Baada Ya Msafara Wake Kushambuliwa


Waziri Mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok amenusurika kifo baada ya msafara wake kushambuliwa na Watu wasiojulikana.

 Mlipuko mkubwa umetokea eneo la tukio katika Mji mkuu wa Nchi hiyo wa Khartoum na tayari Waziri Mkuu huyo amekimbizwa katika eneo salama.

Hamdok aliteuliwa Kuwa Waziri Mkuu Agosti mwaka jana baada ya maandamano makubwa yaliyomng'oa Rais Omary Al-Bashir

No comments

Powered by Blogger.