Header Ads

Header ADS

ROMA "Situmwi na Wapinzania...Barabara Hazina Lami Naziona, Migogoro ya Korosho Naiona Sasa Utasemaje Natumwa"


"Mimi ni Mwanaharakati sina Chama nipo kati kati sipendi watu wanavyosema kuna watu wananituma ili niiembe nyimbo za kiharakati, Migogoro ya korosho naiona, naona hii Barabara haina lami, Bunge naliona, sasa nitatumwaje na mtu kuongea wakati mimi mwenyewe naona kwa macho yangu?"-Roma Zimbabwe.

No comments

Powered by Blogger.