Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ambaye amekuwa mgeni lasmi katika halambee iliyowakutanisha wadau wa maenedeleo wilayani Tabora mkoni Tabora amesema lengo ni kuunga mkono jitihada za serikali katika kuchangia nyumba za Askari polisi. TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
No comments