Lulu Diva Afunguka Ukweli Mchungu "Bongo Movies Wadangaji Wengi"
Mwanadada Nyota kwenye gemu ya Bongo fleva anayesumbua na wimbo wake wa Mapopo, Lulu Diva amefunguka na kusema kuwa wasanii wa Bongo Movie ndio wanaongoza kwa kudanga huku yeye akikanusha kuwa hajawahi kudanga toka azaliwe.
. .
Akiwa kwenye mahojiano Lulu Diva alipoulizwa kuwa kati ya wasanii wabongo fleva na bongo movie ni wapi wanaongoza kwa kudanga Diva alijibu kwa kusema kuwa "Unanitafuta matatizo na watu lakini upande wa wasanii wa Bongo movie huko wadangaji ni wengi sana"
. .
Lulu Diva ameweka wazi kuwa hana mtoto na kama angekuwa nae asingeacha kumkubali mwanae kwani hashindwi kumlea mwanae.
. .
KWA UPANDE WAKO WEWE UNAONAJE WADANGAJI WAKO TASNIA GANI BONGO FLEVA AU BONGO MOVIE?
No comments